GE2025 Dakika za lala salama kuelekea mtanange tunatick na tunatoka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,019
Reaction score
13,264
Tupo katika dakika za jioni kabisa mambo yameshaiva hayawi hayawi sasa yanakaribia kuwa,
Je tutegemee watajitokeza watu muhimu dakika hizi za jioni? Maana viungo muhimu wameshadakwa dk za 70 uko ,

Je kuna watu wazito wenye subira wanaosubiri dakika za jioni kurusha mashambulizi heavy au ndo silaha za akiba zimeisha

Gwajima je,Tesha nae je petrol walio iacha inaweza washa moto

Tutarajie sub ?
Je Hp uko alipo yupo hai au keshakufa
 
Mpaka sasa hivi tunatiki wanaongoza kwa mbili na tunatoka wako nyuma kwa goli moja. Wenje anamwaga upupu kwa kwenda mbele!
 
Dakika za lala salama hizi, mtanange ni mkali sana, lango la tunatoka linashambuliwa sana. Tunatiki viungo wachezeshaji wanapiga pasi ndefi ila wanakosa target golini.
 
Mpaka sasa hivi tunatiki wanaongoza kwa mbili na tunatoka wako nyuma kwa goli moja. Wenje anamwaga upupu kwa kwenda mbele!
Mashambulizi na ball pass naona wanaongoza tunatoka lolote laweza tokea
 
Unapenda sana kukatisha watu tamaa..you are a sadist!
ni uchambuzi wa mtanange huu, fuatilia mitandaoni na nje ya mitandaoni, tunatiki wamejipanga vema, ni timu imara dhidi ya timu dhaifu ila maajabu yanaweza kutokea na timu imara ikagaragazwa na timu dhaifu, hapo nimekatisha tamaa wapi?
 
Tunatiki wanacheza rafu nyingi na kucheza mipira ya kuotea. Tunatoka wana mashabiki wengi na wanashangiliwa kweli kweli. Tusubiri matokeo, mtanange ni mkali sana
 
Hakuna mwenye Balls za kuandamana ni utani tuu wa vijana wakishashiba
 
Me nadhani mfumo wa vyama vingi ufutwe tu Tanzania kwasababu kuna watu hawapo tayari kuufwata.
 
Tupo katika dakika za jioni kabisa mambo yameshaiva hayawi hayawi sasa yanakaribia kuwa,
Je tutegemee watajitokeza watu muhimu dakika hizi za jioni? Maana viungo muhimu wameshadakwa dk za 70 uko ,

Je kuna watu wazito wenye subira wanaosubiri dakika za jioni kurusha mashambulizi heavy au ndo silaha za akiba zimeisha

Gwajima je,Tesha nae je petrol walio iacha inaweza washa moto

Tutarajie sub ?
Je Hp uko alipo yupo hai au keshakufa
Dakika za maaapeeeema wakutoka kidede 5 kwa Mtungi!
 
Tupo katika dakika za jioni kabisa mambo yameshaiva hayawi hayawi sasa yanakaribia kuwa,
Je tutegemee watajitokeza watu muhimu dakika hizi za jioni? Maana viungo muhimu wameshadakwa dk za 70 uko ,

Je kuna watu wazito wenye subira wanaosubiri dakika za jioni kurusha mashambulizi heavy au ndo silaha za akiba zimeisha

Gwajima je,Tesha nae je petrol walio iacha inaweza washa moto

Tutarajie sub ?
Je Hp uko alipo yupo hai au keshakufa
#Oktoba tunatoka kwenda kutiki#

#Kazi na hutu, tunasonga mbele#

#Mama anatosha hakuna wa kumzidi#

#CCM mbele mbele yao#

#Acha waisome namba#
 
Back
Top Bottom