Hahahaaa hujui unachosema. Magufuli amekataliwa na ccm wenyeweMagufuli anashinda uraisi kwa zaidi ya 90%
Kakataliwa kivipi?Hahahaaa hujui unachosema. Magufuli amekataliwa na ccm wenyewe
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
NEC wakishaambiwa ni ushindi wa 85% la sivyo wataipata wewe umebadilisha tena?Magufuli anashinda uraisi kwa zaidi ya 90%
Subiri 28/10 ndo utaelewa kivipKakataliwa kivipi?
Safi sana, jiwe yuko hoi bin taabaniDakika ya 78 Kipindi cha pili cha lala salama, makocha hawatulii kwenye bench. Muda huu atakayepigwa goli itakuwa imekula kwake.
Wachezaji wa timu ya kijani wote wamerudi nyuma kuweka ukuta. Wachezaji wa timu Nyekundu wanashambulia kama nyuki.
Faulo na kona zinapigwa kila dakika hapa. Timu ya kijani inakoswa koswa hapa, mpira unagonga mwamba. Kipa amelala chini anagaagaa.
Kocha anataka kufanya mabadiliko ya safu ya ulinzi kwa timu ya kijani hapa. Kipa ameamka, lakini anachechemea.
Mabao bado ni bila kwa bila. Kipa wa timu ya kijani anatoa ishara kwa wachezaji wake waende mbele.
Inapigwa moja ndeefu, inajibiwa kwa kichwa. Wanapasiana hawa wachezaji wa Nyekundu. Wakakwenda kasi kweli kweli. Naona kipa anapiga kelele mabeki warudi haraka. Ooh wamechelewa, inapigwa cross kutoka mashariki ya uwanja huu. Goooooo....aah hapana, kipa ameutoa.
Nyekundu walicheza kama timu ya Brazil hapa. Mpira ulipigwa cross, mshambuliaji wa Nyekundu akatishia kama anataka kupiga kichwa ule mpira, akaupisha. Kwa guu lake la kushoto, akaunganisha shuti maridadi kabisa.
Kona ile inaenda kupigwa kutokea magharibi ya uwanja huu. Wanapasiana hapa Nyekundu, inapigwaa cross mojaa ....hatari hatarii kwenye mlango wa timu ya kijani. Inapiigwaa shuti moja kipa anaipanchi, inapigwa shuti lingine kipa ameruka amegonga kichwa kwenye mwamba.,.......eeh eeh....leo ndio leo, mtoto hatumwi sokoni.
Namwona kipa anagalagala pale golini. Watoa huduma ya kwanza wanaenda na machela. Wanamganga hapaa....kaaazi kweli kweli. Hebu tuwapeleke studio kwa ajili ya matangazo.
Nayo lazima itoke nje.Timu ya kijani integemea faoul
Tutamwongezea ventillator, hawezi kutuacha hivi hivi lazima ashuhudie anguko lake
Mzee wa kubeti...
Kuna goli la mkono limeandaliwa hapa, si bure. Kipindi upo studio refa aliitwa pembeni akanong'onezwa na kamisaa na kuinua kichwa ishara ya kukubali.Dakika ya 78 Kipindi cha pili cha lala salama, makocha hawatulii kwenye bench. Muda huu atakayepigwa goli itakuwa imekula kwake.