Huyu mpenzi wangu wa kike miaka 28 sijui huwa ana tatizo gani....nikiwa naye faragha yaani dakika moja haiishi
Nikianza kumuandaa kama dakika 6 huhitaji nimpande....nikisha mpanda dakika 2 hazifiki...utasikia kelele za mshindo...akisha maliza hunitaka nami nimalize haraka
Round ya pili hivyo hivyo....siku nyingine naweza kumuandaa kama dakika 10 nashitukia anamaliza na hapo hudai amechoka
Nikimuuliza kwa nini uko hivyo....anadai anajiona yupo sawa
Tatizo ni nini?