Dakika 45 ITV, Sam Mahela haiwezi

Sifa zinamzidi. Anajua akiegemea kwa watawala atapata kanafasi kama double . Kuna baadhi ya vipindi vya kwenye radio/tv vinatakiwa kupata watu kama masako, muro, albet mwalala,siyo kina kibonde, mahela, pascal, pilipili
 
huyo Sam Mahela ana hulka ya kujipendekeza, anapaswa kwenda kutangaza TBC
 
Anaitwa Albert Mwalala
 
Tangu aondoke SEMUNYU hicho kipindi kilipoteza mtu muhimu na aliyekuwa anajua kuuliza maswali kulingana na mgeni wa siku hiyo. Hata Buhohela alipwaya sana...!! SEMUNYU WAS THE BEST...!!

Tafakari...!!
Bora buhohela.alijitahidi sana.
Lakini huyu wa sasa amepwaya sana.
 
Hili liko wazi kwa sasa Han na mvuto
 
Kiukweli huyu jamaa inabidi ajifunze zaidi toka kwa watangazaji wa kimataifa
 
Kipindi apewe Daud Bashite mwizi wa vyeti

Ngozi nyeusi tumezaliwa na roho mbaya na za kwanini.....ww unapambana na vyeti vya Makonda na haitokusaidia,yeye anapambana na wauza madawa na itatusahidia wote.
 
Siwezi kuongozwa na mjinga mwizi wa vyeti kupambana na madawa sio kumhalalishe wizi wake wa vyeti atoe vyeti
 
Kipindi hicho tulishaacha kukitazama siku nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…