Kwa upande mwingine wapo wapinzani wanatamani sana kufanya kazi na serikali ya awamu ya 5 ila vikwazo vipo kwa viongozi wao.
"Raisi Magufuli akiniteua kuwa Waziri wa Mambo ya ndani, nitafanya kazi nae nikipata kibali toka kwa Mwenyekiti". Haya ni maneno ya mbunge wa ukawa Godbles Lema!
Wapinzani kama hawa, kimoyomoyo wanaikubali serikali, ila mashinikizo ya chama yanawazuia. Karibu CCM ndugu Lema upewe uwaziri kamili.