Dakika 10 kabla ya harusi yako!!

dili la unga au mambo ya kinana ....?
 
naenda kwenye dili na naongozana na huyo wife mtarajiwa. wabongo watajua mambo ya kizungu kumbe tunaenda daka mkwanja. tukirudi harusi inafurika wine za kifaransa bia zote tunanawa
 
dili kwanza ndoa baadaye labda dili la kununua pembe za ndovu kazi ya kinana
 
Kuna mitihani migumu bana, huu nao utauita mthani? huu hauhitaji hata kuchukua sekunde tano kuwaza, jibu liko wazi, harus naahirisha napiga dili.
 
Dakika 10 Kabla ya Harusi yako ,. Unapigiwa Simu Kuna Dili la Milioni 800 Alafu ni la uhakika lilikuwa linasuasua lakini sasa limekuwa tayali na ni lazima usaini sikuhiyohiyo uichukue.. Utaenda wapi ,. kwenye Harusi? au kwenye Dili???
kwa nia njema kabisa na kwa ajili ya wazazi wa pande zote mbili,marafilki woliofika kwenye harusi pamoja na mfungisha ndoa, nitaondoka kwenda kwenye dili kwani ninauhakika iwapo ntalipata weng wao watanufaika na hilo dili , kama msaada, mkopo na sadaka
 
Meku ela kwanza, pesa inaleta heshima aisee! Hata paroko akiskia umeacha dili la namna hiyo atakunasa kofi.
 
Una miaka mingapi ?maana akili zako zinaonyesha za kitoto sana na story zako za mbwa kachoka hizi
 
Mwanangu dil kwanza, ndoa baadae. Maana harusi yenye inahitaji dili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…