Daima nitasema ahsante

MLALUKO JR

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
962
Reaction score
309
*Tujifunze kusema "ahsante"*

Maana hapo ulipo si kwa ujanja wako bali Muumba wako. Pia kile ulichonacho "Uhai" sio chako bali umeazimwa. Wakumbuke ndugu na rafiki waliosaidiana na wewe kama binadamu kufikia hapo ulipo.

Usiruhusu chuki na visasi vikutawale, kwani kama mtu hakukusaidia inawezekana hakuwa nacho au alighafirika kukusaidia katika kipindi hicho, ulichohitaji msaada wake (wao). Jifunze kusamehe, kusahau na kuonesha upendo wa watu wote hata kama unahisi umewazidi mafanikio.

By Mjr
 
Maneno mazur
 
Amen. Barikiwa sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…