Daily success relationship quotes...

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
Habari MMU...

Kwa ruhusa yenu naomba nianzishe siredi ya kupeana matumaini, moyo na ari katika maisha yetu ya kila siku.

Naomba iwe siredi endelevu kwa kila siku kutupia quotes nzuri na adimu... sana sana zihusuzo mahusiano, ingawa na nyingine ni ruksa.

Karibuni...

Naanza hivi........

For anything worth having one must pay the price; and the price is always work, patience, love, self-sacrifice. No paper currency, no promises to pay, but the gold of real service."
 
Hiyo nukuu haina Kiswahili chake?
 
^^
Mapenzi ukiyatafuta sana yakakataa, pumzika yatakuja kwa wakati wake.
..
Source Hii thread
^^
 
^^
Mapenzi ukiyatafuta sana yakakataa, pumzika yatakuja kwa wakati wake.
..
Source Hii thread
^^

ukipumzika yanaweza yasije kabisa..ni kupambana hadi dakika ya mwisho!!
 
Kaka mkubwa alituambia tuwe tunawapa heshima wenye machapisho yao, hebu anza sasa kumpa heshima bwana John Burrough John Burroughs quotes
 
'Naionea wivu chupi,gauni na sidiria yako.Kwani mimi nikihitaji hadi nifike nyumbani,ila hivyo vipo mwilini mwako muda wote. Natamani ningekuwa chupi yako" Prof.Chachage .s.Chagage_Makuwadi wa Soko Huria.
 
Hahaaa JF bwana
 
"niko njian nakuja niandalie chai, usisahau kupasi nguo zangu za ucku,afu chakula kisiwe kinachumvi ka cha jana".
 
'Naionea wivu chupi,gauni na sidiria yako.Kwani mimi nikihitaji hadi nifike nyumbani,ila hivyo vipo mwilini mwako muda wote. Natamani ningekuwa chupi yako" Prof.Chachage .s.Chagage_Makuwadi wa Soko Huria.
Balaaa
 
Khaa! WanaMMU wabishi! lol!
Jamaa anataka love quote acopy mistari akampe demu wake, basi mnambaniiiiiia!
...
Chopeko, demu wako akikubania mbunye mpe hii:
...1
Mapenzi kweli matamu, Hilo ata usibishe!
Na kama kwako ni ndimu, Wala lisikustushe!
Umempata mwalimu, Tulia nikufundishe!
Endapo utahitimu, Na cheo nikupandishe!
...2
Yako wewe ya wajibu, Mwalimu usinangushe!
Sauti ya taratibu, Mimi iniburudishe!
Tena uwe unajibu, Ili usinichokeshe.
Na uwe wangu twabibu, Wambea tuwakomeshe!
...
Source: Mashaxizo!
...
.....be continue..........
 
hahahahaha kumbe fundi wa mashairi best eeeh
 
'Naionea wivu chupi,gauni na sidiria yako.Kwani mimi nikihitaji hadi nifike nyumbani,ila hivyo vipo mwilini mwako muda wote. Natamani ningekuwa chupi yako" Prof.Chachage .s.Chagage_Makuwadi wa Soko Huria.

This is the beat quote in my life, sio kwa sababu inahusisha chupi na sidiria hapana. Kwa kuwa inazungumzia siko huria kwa picha na kuonyesha lilivyo chafu kwa maendeleo ya binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…