Daily private transport from Arusha-Moshi(morning and evening)

Daily private transport from Arusha-Moshi(morning and evening)

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,487
Reaction score
1,275
je kuna mtu anafahamu mtu yeyote anayesafiri from Arusha-Moshi kila siku na kurudi jioni kwa private transport?i am willing to share fuel costs at an agreed cost.awe anafika Moshi saa 12 asubuhi.muda wa kuondoka Moshi uwe from saa 11 and so on.if you know anyone tafadhali nijuzeni..au kama unajua wengine wanaofanya kazi mkoa wa moshi na wanaishi Arusha,we may find transport pamoja..i really need this.. .ahsanteni.
Preta Erickb52 na Arushaone naomba mnisaidie kuulizia pia.....
natanguliza shukrani
 
Last edited by a moderator:
am with u in ths bt sa kumi na mbili ingebadilishwa kuwa sa moja pliz mabasi yanachosha mno
 
gud idea tukiwa walau watatu au wa nne itakuwa poa sana,umoja ni nguvu ati
 
OK,now tupo watatu,as i have talked to luvcyna.roughly mafuta to Moshi and back costs like 40,000 per day,tungeweza tukapata a fuel economic vehicle yenye nafasi zaidi ingekuwa safi zaidi.na kama tungepata watu wengi zaidi ingekuwa ni safi sana.nangoja mawazo yenu.ahsanteni
or contact me thru:0714744552
 
mtakuwa mnaenda arusha kila siku ama siku moja tu kwa mwaka?
 
Back
Top Bottom