dahn jamani,why do people quarell in marriage and not b4 that?

manchu

New Member
Feb 9, 2011
1
0
jamani embu nisaidieni kunijibu!maana watu wengi kabla hawwajaoana ni full kupendana,wakishaoana tu wanaanza matatizo!
 
Kabla ya kuoana kila mtu huwa anaficha tabia zake ambazo mara nyingi nyingine hazivumiliki,baada ya ndoa kwa maana ya kuanza kukaa pamoja ndipo hapo watu huanza kuzigundua tabia hizo na ndipo matatizo hutokea.
 
Kuna sababu nyingi tu zinachangia:

1. Si rahisi sana kwa binadamu kuishi smoothly bila kukwaruzana kwani hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu. Wanasema hata vikombe kambatini hugongana.
2. Watu kuingia kwenye ndoa bila maandalizi ya kutosha. Inatakiwa ufahamu unatarajia nini toka kwa mwenza wako naye anatarajia nini kutoka kwako na mzingatie.
3. Baada ya ndoa watu hujisahau kwa sababu tayari anakuwa na uhakika.
4. Baadhi ya watu huficha sura zao halisi wakati uchumba na hizo sura huja hujitokeza kadri muda unavyokwenda na hivyo huwakera wenzi wao.
5. Uzoefu (na tafiti) unaonyesha baada kuzaa mama huhamishia mapenzi kwa watoto na mume hujifeel anakuwa neglected.
6. INFIDELITY! Ambayo husababishwa na mojawapo ya sababu hapo juu au tabia tu ya mhusika.

Nawasilisha.
 
tumeonana jumatatu tunaoana alhamis wat do u thk?
nlikupendea pesa nw pesa huna wat nxt?
ulinipendea umbo langu namba 8 now nina umbo namba 11 then wat?
ulinipenda kwa sababu nina kaz nzur nw nimefuluzwa?
nilitarajia ukinioa utaninunulia kibajaj new model lakin mwaka sasa hata toroli aulizungumzii....

chanzo;KUTOKUWA NA MAPENZ YA KWELI
WENG MNAFUNGA NDOA KWA SABABU ZA NJE (MATERIALS ) NT REAL LOVE
njaa inaumaaaaaaaaaaaaaaaa byeeeeeeeeeeee!!!
 
Pia kwenye ndoa kuna kujishusha ingalau mmoja awe chini especially mwanamke sasa siku hizi kila mtu kichwa juujuu utafikiri mjusi unafikiri hapo patakalika?
 
Kuna sababu nyingi tu zinachangia:

1. Si rahisi sana kwa binadamu kuishi smoothly bila kukwaruzana kwani hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu. Wanasema hata vikombe kambatini hugongana.
2. Watu kuingia kwenye ndoa bila maandalizi ya kutosha. Inatakiwa ufahamu unatarajia nini toka kwa mwenza wako naye anatarajia nini kutoka kwako na mzingatie.
3. Baada ya ndoa watu hujisahau kwa sababu tayari anakuwa na uhakika.
4. Baadhi ya watu huficha sura zao halisi wakati uchumba na hizo sura huja hujitokeza kadri muda unavyokwenda na hivyo huwakera wenzi wao.
5. Uzoefu (na tafiti) unaonyesha baada kuzaa mama huhamishia mapenzi kwa watoto na mume hujifeel anakuwa neglected.
6. INFIDELITY! Ambayo husababishwa na mojawapo ya sababu hapo juu au tabia tu ya mhusika.

Nawasilisha.

umesema kila kitu,thanks kwa jibu lako murua...
 
mapenzi yanapunguwa hasa mmoja wapo akiwa mkorofi.
ukorofi una maana nyingi eg:

1. mlevi sana
2. mwizi
3. hatimizi mahitajio
4. mgomvi na hana subira
5. etc
 
Mimi naona inatokana na ukweli kwamba mkioona mnakuwa na muda mrefu wa kukaa pamoja tofauti na mlipokuwa wachumba au marafiki. Ule muda mfupi mliokuwa pamoja ulikuwa unazuia matukio mengi kutokea lakini mkioana mnakuwa na muda mrefu wa kuwa pamoja kwa hiyo suala la kumkanyaga mwenzio linaweza kutokea.
 
mh! Hiyo mpya.... Yaani watu wanakuwa na uhusiano bila mkwaruzano.... Labda malaika...
 
u said almost everything
Kuna sababu nyingi tu zinachangia:

1. Si rahisi sana kwa binadamu kuishi smoothly bila kukwaruzana kwani hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu. Wanasema hata vikombe kambatini hugongana.
2. Watu kuingia kwenye ndoa bila maandalizi ya kutosha. Inatakiwa ufahamu unatarajia nini toka kwa mwenza wako naye anatarajia nini kutoka kwako na mzingatie.
3. Baada ya ndoa watu hujisahau kwa sababu tayari anakuwa na uhakika.
4. Baadhi ya watu huficha sura zao halisi wakati uchumba na hizo sura huja hujitokeza kadri muda unavyokwenda na hivyo huwakera wenzi wao.
5. Uzoefu (na tafiti) unaonyesha baada kuzaa mama huhamishia mapenzi kwa watoto na mume hujifeel anakuwa neglected.
6. INFIDELITY! Ambayo husababishwa na mojawapo ya sababu hapo juu au tabia tu ya mhusika.

Nawasilisha.
 
Kwa sababu mtindo wa maisha na tabia walizokuwa nazo kabla wanazibadilisha.
Nilishazoea outing kila wiki, shopn kila mwisho wa mwezi, mazaga zaga yote napata. sasa tumeoana na watoto kibao, familia za pande zote mbili zinatuangalia na Mshiko hautoshi. Khaa! Tunalazimika kuishi maisha mapya...... Wachache huweza kuvumilia.
 
Back
Top Bottom