ukubwa wa kalmati siyo tatizo ........tatizo ni jinsi ya kuila hiyo kalmati.Kwa midomo hiyo inaonesha hata Kalmati yake ipo kubwa hivyo hivyo.
ukubwa wa kalmati siyo tatizo ........tatizo ni jinsi ya kuila hiyo kalmati.
na ukiona kalmati ni kubwa kwako basi ujue ndizi yako ndogo.....so tafuta kalmati itakayofiti ndizi yako.
unanichukulia poa eeh.......hamna bwana siku mojamoja tunafunguka.Sikujuwa kama na wewe ni mtata hivyo,ila hongera kwa ufafanuzi...tunahitaji fikra kama zako katika kuboresha tendo......
unanichukulia poa eeh.......hamna bwana siku mojamoja tunafunguka.
haya bwana nimekupata.Ndio maana nikasema tunahitaji watu wenye uwezo wa kufunguka namna hiyo,wadada wengi huwa wako kimya kisha anaenda kulalamika nje, ooh wangu hanitoshelezi, lakini ukiwa mkweli katika unayoyataka wala waganga wa nguvu za kiume wasingekuwepo,asante sana sister
Mmmmh dada umefunguka... Najiamini kwa urefu na ujazo wa kutosha lakini kuna Kalmati nyingine zimezidi, ukichanganya na kuiandaa ndiyo kabisa.ukubwa wa kalmati siyo tatizo ........tatizo ni jinsi ya kuila hiyo kalmati.
na ukiona kalmati ni kubwa kwako basi ujue ndizi yako ndogo.....so tafuta kalmati itakayofiti ndizi yako.
hUYU MGUU WA KULIA SIJUI ALIPATAGA AJALI!!
unajua ule msemo unaosema wewe ukiona cha nini mwenzio anawaza atakipata lini?.........kuna watu wanapenda hicho ambacho kwako wewe unaona kero.......na mwingine hapendi afike na kuitafuna tu bila maandalizi cz kwenye maandalizi ndo anafurahia zaidi.Mmmmh dada umefunguka... Najiamini kwa urefu na ujazo wa kutosha lakini kuna Kalmati nyingine zimezidi, ukichanganya na kuiandaa ndiyo kabisa.
Inafikia nyingine haihitaji maandalizi ni kuitafuna tu ili angalau isifunguke zaidi.