Dah!! Wanaume tuwe na huruma jaman

Dah!! Wanaume tuwe na huruma jaman

we unashangaa tatu? mi ninae jirani yangu pale jana rafiki zake wananisimulia,amezichomoa tano,na hasomi wala ninini mtoto wa kichaga anadai kwaoni marufuku kuzalia hom,so ameamua akazalie chooni,niliishiwa na pozi
 
Wanawake wana roho ngumu sana,kutoa mimba ni ujasiri wa ajabu sana,demu anayetoa mimba ni muuaji na katili kuliko hata jambaz
 
Kama ni kweli huyo binti ategemee kuachwa japo namhurumia atakayemwoa maana anaweza asipate mtoto au akapata kwa shida. Jamani kuweni makini, mpenz wako wa sasa ni mke mtarajiwa wa mwenzako kwanini kumkongoroa hivyoooo????
 
Kwanini wanatoa mimba mashenzi hayoo... huyo binti nae wa chuo gani hana akili??
 
we unashangaa tatu? mi ninae jirani yangu pale jana rafiki zake wananisimulia,amezichomoa tano,na hasomi wala ninini mtoto wa kichaga anadai kwaoni marufuku kuzalia hom,so ameamua akazalie chooni,niliishiwa na pozi
Huyo katisha aisee
 
Huyo Dada ndio hatumii akili.
Kosa si kosa ila kosa kurudia kosa.
Alipata mara ya kwanza wakatoa why asianze kutafuta njia mbadala ya kuzuia asipate tena anajiachia tu.
Njia za uzazi wa mpango anasema zinamadhara je kutoa mimba hakuna madhara?
Hako kamchezo wameshakazoea hivo wanaona kawaida ila baadae atayekuja kulia ni bidada.
Mbaya zaidi huyo anayemtoa anaweza asije kumuoa hapo ndio kilio kitakapoanzia.
 
Mwanamke mwenye kujielewa kubeba mimba ni maamuzi yake, km kafika chuo na hajui namna ya kujikinga,mwacheni azae kwani ni upumbavu wake.
Ila najaribu kuwaza huyo mdada kuna mwanaume atakuja kumuoa jaman!!! Dah!!
Ataolewa tu mkuu,hainaga alama
 
Mwanaume yeyote au mwanamke anayeshawishi mimba itolewe jua hakupendi. Mnafanyana viburudisho tu. Siku sasa umeolewa mimba hainasi unaanza kwenda kusumbua makanisa na waganga. Shwetani kabisa.
 
we unashangaa tatu? mi ninae jirani yangu pale jana rafiki zake wananisimulia,amezichomoa tano,na hasomi wala ninini mtoto wa kichaga anadai kwaoni marufuku kuzalia hom,so ameamua akazalie chooni,niliishiwa na pozi
Amegeuza kizazi chake chekecheke
 
Yaan njia za uzazi wa mpango zina madhara lakini kutoa mimba ndo hakuna madhara???
 
Huyo Dada ndio hatumii akili.
Kosa si kosa ila kosa kurudia kosa.
Alipata mara ya kwanza wakatoa why asianze kutafuta njia mbadala ya kuzuia asipate tena anajiachia tu.
Njia za uzazi wa mpango anasema zinamadhara je kutoa mimba hakuna madhara?
Hako kamchezo wameshakazoea hivo wanaona kawaida ila baadae atayekuja kulia ni bidada.
Mbaya zaidi huyo anayemtoa anaweza asije kumuoa hapo ndio kilio kitakapoanzia.
Mwanaume yyte anayempenda mpenzi wake hawezi kumwambia wakatoe mimba hata siku moja hata km uchumi haurusu atapigana kufa na kupona mpaka hakikishe anajifungua salama.
Huyo amemfanya mwenzio km sex toy, huyo ni mzee wa hit and run
Ila kwa vile mwanamke yupo kwenye penzi nzito hawezi kulitambua hili.
Mpaka wamalize chuo atakuwa amechoka mwanamke wa watu.
Ngoja tuone lkn ninavyojua huyu ni sex toy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom