Mzee, alikuwemo mtu anaitwa Matthew humu labda awe amedelete account na kutengeza nyengine. sasa sijui kama ndio huyo mathsjery ama vipi. Ila mimi najua miaka hio huyu mtu akitumia ID ya matthew.
Nilikuwa na project nzito sana, nimeifanyia research ya kutosha, sio kwamba nilikosa mtu wa kunifanyia, ila nilitaka mtu awepo Tanzania ili iwe rahisi kuwasiliana nae nakutoa fursa maana nlijua kama ingefanikiwa saivi ingekuwa tuko mbali sana, nkaona nitoe chance kwa mtanzania mwenzangu maana nilitaka Tanzania ijulikane kuwa vichwa vipo, lakini alitokomea. Website aliiweka kwenye maintainance mode tu, hakuna alichokuwa akifanya. Kitenda chake cha kutumia wordpress kwenye hio project kilinipa mashaka sana, akataka kwanza nimpe laki 2, nkaona sio kesi laki mbili sio ishu ata ikipotea.
Afu jamaa akantambulisha kwa jamaa anaitwa Franc ambae alinambia anafanya kazi na fastercapital, mtandao ambao unatoa support kwa startup. Baada ya alichofanya, sikutaka kuendelea na huo mtandao nkajua huenda nao ukawa unaibiwa idea tu.
View attachment 1559797