Rough player
Member
- May 26, 2018
- 39
- 120
Hiii tatizo linatokea inabidi ukiuziwa simu urestore kabisa hapo hapo, sasa hapo mkuu umepatikana, na kuna simu icloud inatoka kimagumashi ukirestore tu ianrudi ishanitokea nikatoa icloud kwenye iphone 5s kwa njia za kiwizi wizi ila niliyemtolea aliporestore ikarudinatumai wote ni wazima hapa jukwaani
bila kuchelewa naomba niingie kwenye point
hapo nyuma kwenye mwezi wa 10 nilinunua simu aina ya iphone 6plus kwa mshkaji katika process ya mauziano jamaa litoa icloud yake tu ila hakureset simu
sasa baada ya kutumia huku nikiwa nimeshasign in kwa icloud yangu ila tatizo lilikua nilipotaka kutumia baadhi ya app kama facetime ilikua inadai restriction code ambayo mimi siijui na wakati naichukua hiyo simu sikujua kama lingekua tatizo kwa kua jamaa alioshatoa icloud yake
sasa leo nimeona bora niireset ili nisione usumbufu wa kuona baadhi ya formation za mtumiaji aliyepita kama hiyo restriction code
sasa nikakonnect na itunes kama kawaida nikalog out account yangu ya icloud nikarestore simu kilichonikata maini ni kwamba baada ya kumaliza kurestore,,, account ya icloud iliyorud ni tofauti na yangu na sikutegemea irudi ikiwa linked na icloud hali ya kua mimi nilishalog out kwenye account yangu ambayo nilikua nimeilink sasa najiuliza iphone inaweza kua na access ya account 2 za icloud ndani ya simu 1
yani hapa nipo sielewi yani sijui nifanyeje nimemtumia text aliyeniuzia bado nasubiri majibu wakuu nilikua naomba msaada kama kuna njia nyingine ya kusolve hili tatizo
asante mkuu ndiyo nangojea wajuvi wanaweza nisaidiaPole sana ngoja wajuz waje, au rud kwa aliyekuuzia ,aweke hiyo previous icloud
Mkuu unanisaidiaje kaka maana simu yenyewe hata mwezi haijamalizaHiii tatizo linatokea inabidi ukiuziwa simu urestore kabisa hapo hapo, sasa hapo mkuu umepatikana, na kuna simu icloud inatoka kimagumashi ukirestore tu ianrudi ishanitokea nikatoa icloud kwenye iphone 5s kwa njia za kiwizi wizi ila niliyemtolea aliporestore ikarudi
Ndiyo nimemtumia text nasubiri majibu kama alikua muaminifu anaweza kunijibu kama nk tapeli tu inakua ndiyo basi nishapewa hasaraPole sana ngoja wajuz waje, au rud kwa aliyekuuzia ,aweke hiyo previous icloud
Mkuu ngoja akujibu maana icloud kwaasa ni probability tuMkuu unanisaidiaje kaka maana simu yenyewe hata mwezi haijamaliza
Mkuu ngoja akujibu maana icloud kwaasa ni probability tu
Hata me bado nmelala yaaniTumelala
Duh hizi ifone majanga makubwa bora nibakie kweny android tu maana sio kwa shida hizoHiii tatizo linatokea inabidi ukiuziwa simu urestore kabisa hapo hapo, sasa hapo mkuu umepatikana, na kuna simu icloud inatoka kimagumashi ukirestore tu ianrudi ishanitokea nikatoa icloud kwenye iphone 5s kwa njia za kiwizi wizi ila niliyemtolea aliporestore ikarudi
Siyo majanga ili mradi ununue mpya au u restore mbele ya aliyekuuzia uondoe kila connection uweke details zakoDuh hizi ifone majanga makubwa bora nibakie kweny android tu maana sio kwa shida hizo