Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
πππ na kweli aiseee.
Kama huyu jamaaa.Aiseee.Aisee unajua kuna watu wengine hata wakiwa kwenye uhalisia unaweza kusema ni maigizo tu anafanya unashindwa kumuamini kabisa yaani.
DuuhWrite your reply...ukiona hivyo ujue hapo kakosa rambirambi mwishoni
Kama huyu jamaaa.Aiseee.
Nafsi yangu imegoma kabisa kuamini kama kinachoonekana usoni ndio kipo mpaka ndani ya moyo wake. Ila nisihukumu huenda.
Binadamu tumeumbwa tofauti..Kama huyu jamaaa.Aiseee.
Nafsi yangu imegoma kabisa kuamini kama kinachoonekana usoni ndio kipo mpaka ndani ya moyo wake. Ila nisihukumu huenda.
Yaaaaani acha tu mwaya.
Mie huwa nashindwaga kabisa kumuelewa Wallah. Yaani yupo yupo tu kwa kweli hata akiwa kwenye hali ya ukweli inakuwa ni ngumu kumuamini kuwa yupo kwenye hali ya ukweli unahisi kama ana-fake tu muda wote mamiiii.
Acha tu my dear.