King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,075
- 98,312
Zuhra na Elizabeth nawaona wakawaida tena sana!! Wanafaa tu kwa matumizi ila katika PISI kali hawapo hata top milioni.....Lakini siwaping Beauty is in the eye of beholder.
Sikweli hajaolewa na alishasema hana mpango huoMke wa mtu sijui wa tatu au wa pili
Nasikia eti hakajabahatika kuolewa sasa sijui huo uzuri ni wa kazi gani
Kilio cha Samaki machozi yanaenda na Maji.Huyu Malkia Nampenda Mnoo japo kanipita Age!!
But age it's Number toooooooo!!!!!!!
Zuhura Nakupendaaaaaaaaaa[emoji177]
Kwa sababu zipi hizo za msingiSikweli hajaolewa na alishasema hana mpango huo
Hivi alishaolewa huyu? Am serious. Nataka nimuweke ndani kabisa huyuUpo spidi sana boss.. ila uache uongo..🤣
Naona na wewe umechangamka huyo uliemuweka Kama avatar ndo wewe..? Huyo si Elizabeth mrama sijui wa TBC dada Yuko vizuri huyo yani acha tu niseme Mungu fundi hata zuhura hapa hafiki..😅
View attachment 1664497
Nina uhakika 95%, kuna ukwel hapa 😂😂😂Usikute na yeye kuna njemba anaililia lakini haimwelewi
Ameshaolewa huyo we Bata.Hivi alishaolewa huyu? Am serious. Nataka nimuweke ndani kabisa huyu
Toka hapa unanuka maziwa ww mtotoHuyu Malkia Nampenda Mnoo japo kanipita Age!!
But age it's Number toooooooo!!!!!!!
Zuhura Nakupendaaaaaaaaaa[emoji177]
Acha umama kukuAmeshaolewa huyo we Bata.
Mkuu acha u mbute Sasa hivi tutakula banAcha umama kuku
Picha zote nne kahakikisha pete inaonekana ingawa ni mkono wa kulia
Huyu anaonekana ana matege yale ya mama mdogoUpo spidi sana boss.. ila uache uongo..🤣
Naona na wewe umechangamka huyo uliemuweka Kama avatar ndo wewe..? Huyo si Elizabeth mrama sijui wa TBC dada Yuko vizuri huyo yani acha tu niseme Mungu fundi hata zuhura hapa hafiki..😅
View attachment 1664497
Huyu kwa umri wake sasa hivi akizaa ni mapacha. Over 30 wengi wakipata mimba wana chance ya twins...yuko natural sana huyu hapo kwa macho tu hiyo sura ndio sura anayoamka nayo, no make ups...
Ni MpareZuhura yunus mzanzibari aliechangamka..
Nikajuaga Mimi tu ndo namuonaga mzuri kumbe Kuna wengine mnaumia kimyakimya..😜
Mkuu Nina Robo Kaline ¼ 25 yrs bado nanuka maziwa tuu .[emoji849]Toka hapa unanuka maziwa ww mtoto
Hivi ni vitu vyetu sisi malengendary
Tafuta size yako
Zuhura yunus mzanzibari aliechangamka..
Nikajuaga Mimi tu ndo namuonaga mzuri kumbe Kuna wengine mnaumia kimyakimya..😜
Zuhura yunus mzanzibari aliechangamka..
Nikajuaga Mimi tu ndo namuonaga mzuri kumbe Kuna wengine mnaumia kimyakimya..😜
Mwanahabari huyo wa bbc hivyo kuonekana kwenye kamera ndo kula yake so ni kitu Cha kawaida mabisaHiyo pete inaonesha ni mke wa mtu!!! Imekuwaje amekubali picha yake ianikwe hapo; au ameachika yuko sokoni?