MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
- Thread starter
-
- #101
Dah, mnapenda mno kutongoza kwa pupa na kizamani! First, build friendship with her then move foward! Huwezi kutongoza ghafla ghafla tu mbinti anayejiheshimu atakushusha credit and you won't get the 'juicy red spot'!
Safi bana, Avatar yako inavutia!
Ningekuwa domo zege ningeomba mwaliko wa kuja kukutongozaSijatongozwa siku nyng na madomo zege.
mimi naomba email!ungeomba email address.. ujue namba yaweza kuwa ngumu ila email unapewa tu fasta.
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima
nitumie mbinugani wadau
Mi ndo Presidaa wao...ivo usijal ntaanza request soon kwako.
Ningekuwa domo zege ningeomba mwaliko wa kuja kukutongoza
hahahaha, mpwa unanichokoza; tinna cute kasema hajatongozwa siku hamaanishi kwamba anataka kutongozwa! mi namwamini bana tinna wangu hawezi kunisaliti, hao madomo zege atawaenjoy na kuwacheka tu!
Domo zege haongei ye ni cash flow tu!!!
We utakua walewale wagumu
uko rafu sana na speeeeeedWadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima
nitumie mbinugani wadau
Mwambie huyo,,,, me nahisi Elli anatuonea wivu sana na hatuachani hubby miaka mia 800000000.....
Dia hii avatar yako umekua handsome gafla!!!!
Hihihihiii, najua hilo pozi langu ndiyo huwa linakuchanganya, nilivoona wewe umeweka hiyo yenye top napendaga nikasema na mimi nichange dia!
bado hujakutana nae tuu? tunasubiri mrejesho
Upoo mbebes wa ukweli?
Na mimi Nasubiri pm