Dah! Nimepewa cha mbavu

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Wadau za mida hii....basi dah hapa kitaani kuna mtoto flani hivi ya ukwel ananitesa mtima wangukichizi...hua anapenda kuniangalia sana pindi tunapo kutana stand au akipita hapa karibu na geto sasa mida hii nimemuona akitoka dukani nkasema hapa hapa bas amechukua cha kuchukua nikamfata ''Za muda huu mrembo''akanijb salama bs mzee mzima nkaona nisicheleweshe nikaomba namba ya simu nn dah akaniju ''hua stoagi namba ya simu''ukwel nimejiskia noma sana dah hiyo hali ya kutoswa namba imenipa mfadhaiko wakuendela kumfatlia tatzo anautesa mtima

nitumie mbinugani wadau
 
Aaa bwana uyo mbna analegeza msimamo tu...apo alikua anapima upepo usimuone tht take away!...

Embu kesho msarandie tena uone km atachomoa!....
 
Daaaaa ! Mbona kakupa jibu la matumaini kabisa hilo !

Huwa sitoagi namba ya simu ! Daaa

kweli kuna watu midomo zege ! Na wengine midomo maji tu !
 
ungeomba email address.. ujue namba yaweza kuwa ngumu ila email unapewa tu fasta.
 

hahahahaaaa,,,,,UTOTO RAHA,,,sasa ndo cha mbavu hiki???
 
Daaaaa ! Mbona kakupa jibu la matumaini kabisa hilo !

Huwa sitoagi namba ya simu ! Daaa

kweli kuna watu midomo zege ! Na wengine midomo maji tu !

mkuu unshaur vp mkuu
 

Dah kweli we zege kushindwa kuchukua namba unalalamika inaelekea swaga zako sio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…