JF ina raha zake tele na karaha kwa mbali,kama huna akili nzuri waweza potea kabisaaa na kama huna msimamo akyanani utazunguzsha akili kama pia usijue wasemacho.Humu waweza kumuita mwanafunzi wako mkuu au baba mkwe akapigwa mkwara na mkwewe na akanywea alimradi ukiwa humu huchoki kucheka mpaka ulale