Aisee papaa hayo ni marekebisho gani yachukue muda mrefu kiasi hicho?. Jamani hapa kwa upande wangu sitanii JamiiForums ndo partner wangu wakati wote, iwe kwa ofis, home au pengine pale niwapo, sa unaponiambia nitaikosa JamiiForums kwa siku nne, yaan ni mawazo makubwa mno, bora wife aninyime kinyoanyoa kwa miezi minne kuliko kukosa kwa siku nne hii kitu naitwa sijui JamiiForums. Jamani wazee acheni mchezo bana, mie nipo porini huku mshikaji pekee ni JamiiForums anae nipa news zaidi ya hao sijui CNN au na hiyo TBC yenu. Punguzeni hizo siku angalau ziwe mbili tu yaan tar 12 na 13. Yaan hapa na mawazo kinyama acheni kabisa hizo bwana invisible, mnavyonifanyia siyo kabisa na ni uonevu wa hadharani wajameni.
Be blessed you all.