Dah kweli malipo ni hapahapa. . . .

Mungu anajua yote tunayotendewa na wanadamu wenzetu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hapo wameshatembeza virungu wanasepa, sasa huyo ndio chupu chupu aachwe angegeuzwa asusa.
 
yaani hapo ule ujasiri wote wa kiaskari unaondoka...sasa kinachotamalaki hapo ni mishuzi isiyo na idadi
 
Askari wenyewe mazoezi hakuna, kazi rushwa tu. Tupa kule!
 
angekuwa ni mwandishi wa habari hapana shaka wangmwambia shofele aongeze kasi au huyu mwanajeshi anayening'inia angemshindilia na zinga la teke.....................
 
Nilidhani ni mazoezi na majaribio ya hivyo vifaa kinga vya magotini?
 
hiyo ni kawaida tu mbona, wanafanya haya mazoezi sana(KURUKIA KUINGIA NA KURUKA KUTOKA GARI LIKIWA KWENYE MWNEDO).
Hapo sidhani kama hata alidhurika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…