Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
teh teh tehanasubiri round 3
Mkuu, vitu kama hivi ndio neema zenyewe hizi.Kesho ntafunga kweli? Swaumu ishaingia dosari.
wengi wamejisahau siku hizi, wanaishia kuvaa vipedo tuUhondo wa Kanga ndo huwa hapa sasa heshima kwa wadada wote wanaovaa kanga.