KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,952
- 40,278
Wasaalam wakuu...nimeamini hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama kutongoza..yaani haina uzoefu wala nini...kuna mrimbwende mmoja amefanikiwa kuuteka moyo wangu lakini dah!..jinsi ya kumuanza inakuwa ngumu cuz sina mazoea nae..na hata nikijipanga mnyamwezi nimtemee madini..najikuta nanyong'onyea nikimuona na nashindwa kumweleza..sijui ndio udomozege unanirudia...yaani kidume mzima namwogopa mtoto wa kike...?..kweli kutongoza noma.
Mkonyeze konyeee,halafu muangalie machoni kwa huba sio chini ya dk 5 machoni mwake hata akigeuza macho wewe yafuate tu.....,halafu umtumie na kumpelekea maua(rose)
LMAO....ha ha ha teh

No.. nampenda for really mkuu..Huenda moyo wako unajua kuwa huna nia njema na huyo mdada . :noidea:
Utakua domo zege..........
..shukrani mkuu..ngoja ni test hii style inaweza ika work out.mr KikulachoChako,
naomba nikupe ushauri wa bure!
katika suala la kumtaka/kumtongoza mtoto wa kike,
dont ever take the issue serious, utaishia kuwa na mdomo mzito!
jaribu kuwa na kama ka utani fulani hivi kila unapomuona, be charmful, jenga mazoea kidogo,
then mwambie kama kiutani utani fulani hivi kama siku mbili tatu.
baada ya hapo ndo uanze kuongeza userious sasa, no more jokes!
... sasa utamskia, 'ooh, kumbe ulikuwa serious, mi nilijua unatania'!
kazania hapo brother!
Mueleze huyo...yeye anajua easy tu..labda wale wa Lambo.sister Heaven on earth,
kumtokea binti unajua nako kunahitaji moyo wa chuma kwa baadhi ya watu!
na hata ile stage ya kujenga mazoea nako ni issue!!
na hii si kwa men tu, mabinti nao huhangaika mpaka kutumiana wao kwa wao!
Mkonyeze konyeee,halafu muangalie machoni kwa huba sio chini ya dk 5 machoni mwake hata akigeuza macho wewe yafuate tu.....,halafu umtumie na kumpelekea maua(rose)
LMAO....ha ha ha teh
Nashindwa kumpotezea mkuu..Yaani nikimuona nashangaa nacheka cheka ovyo tu.Akikuona unamzimia sana atakusumbua mno. Jifanye nawe huna time naye lakini onyesha unamjali.
Nitake radhi we mwanamke..mimi ni mjasiri zaidi ya simba sema kwa mrembo huyu sijui kwanini nakua mzito..Utakua domo zege..........
Mkuu nimemkonyeza hadi macho yanauma lakini bado ngoma ngumu...Mkonyeze konyeee,halafu muangalie machoni kwa huba sio chini ya dk 5 machoni mwake hata akigeuza macho wewe yafuate tu.....,halafu umtumie na kumpelekea maua(rose)
LMAO....ha ha ha teh