Dah, kumbe kuna vipara vya aina hizi!

Dah, kumbe kuna vipara vya aina hizi!

Kama una kipara, tafsiri yake katika ulimwengu wa kiroho ni kwamba God has decided to be ur Barber ..Hata Mshana Jr analijua hilo..Kama hauamini muulize Kiranga

Hahahah, nimeipenda hii kiongozi. Wananyolewa bila ya malipo si mchezo. Lol.
 
Jambo la kusikitisha ni vinyozi, wao wanakandamiza bei ile ile. Vinyozi kama mmo humu, tafadhali muwe mnafanya discount kwa watu wenye vipara.

Hahahah, kweli mkuu.

Itabidi waliangalie upya hilo suala aisee wenye vipara kama vya pombe, fedha, ukoo na elimu inabidi wapate punguzo la asilimia kadhaa kiongozi.

Ahsante sana kwa kuliona hilo natumai watalifanyia kazi mkuu.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom