Hata mimi sijaelewa kabisaHujaeleweka
Ulikuwa na haraka ya kwenda wapiiAskar wa barabaran mdada mzur balaa
NEXT TIME USIRUDIE TECHNICAL FAULT KM HIYODah,nimesimamishwa na m1 leo sokoine drive kule daah,ikabid nimwambie tuu,kwakwel hata kama sina kosa,naomba nikupe takrima...daaaah,.mtoto mbichiiiii kabsaa,kazur balaa,.
Akabak anacheka tuu,et "unavituko"...
Nkamwambia ntarud unikamate tena
Ulikuwa na haraka ya kwenda wapii
Bila picha uzi wako ni batili haiwezekani utufanye tujijengee taswira kwenye dunia hii ya utandawazi.Dah,nimesimamishwa na m1 leo sokoine drive kule daah,ikabid nimwambie tuu,kwakwel hata kama sina kosa,naomba nikupe takrima...daaaah,.mtoto mbichiiiii kabsaa,kazur balaa,.
Akabak anacheka tuu,et "unavituko"...
Nkamwambia ntarud unikamate tena
Acha uchoyo mkuu hata kapicha Hutumi dah.....Kabsa mkuu,huyu askar kwakwel sjawai ona
ana gari huyoo mr superspot sasaaaUlikuwa na haraka ya kwenda wapii