Dah,kumbe hawa wa barabaran kuna visu namuna hii

Dah,nimesimamishwa na m1 leo sokoine drive kule daah,ikabid nimwambie tuu,kwakwel hata kama sina kosa,naomba nikupe takrima...daaaah,.mtoto mbichiiiii kabsaa,kazur balaa,.

Akabak anacheka tuu,et "unavituko"...
Nkamwambia ntarud unikamate tena
Bila picha uzi wako ni batili haiwezekani utufanye tujijengee taswira kwenye dunia hii ya utandawazi.
 
Na hizi sare zao za sasa hivi ndio balaa, kumbe yale masketi yalikuwa yanaficha mambo
Acha tu,haka kalikua kadogo dogo,yaan kama 26yr hvi.keupe balaa,imagine hapo kiongoz,..ila hiki maboss wa kule hawatakiacha salama asee
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom