Dah,kumbe hawa wa barabaran kuna visu namuna hii

nimeishia kubuni picha kichwani..pia nimebuni mimi ndio namwambia nipate mawasiliano yake mambo ya fin eaandike tu yupo kazini..so nkamshawishi kuna maisha baada ya kazi yani twaweza onana tu mtaani tuyajenge akitoka kazini...anaweza kuwa mke kabisa
 
Dah,nimesimamishwa na m1 leo sokoine drive kule daah,ikabid nimwambie tuu,kwakwel hata kama sina kosa,naomba nikupe takrima...daaaah,.mtoto mbichiiiii kabsaa,kazur balaa,.

Akabak anacheka tuu,et "unavituko"...
Nkamwambia ntarud unikamate tena
Habari bila picha ni uchochezi uliotukuka!
 
Back
Top Bottom