Dah,kumbe hawa wa barabaran kuna visu namuna hii

Dah,nimesimamishwa na m1 leo sokoine drive kule daah,ikabid nimwambie tuu,kwakwel hata kama sina kosa,naomba nikupe takrima...daaaah,.mtoto mbichiiiii kabsaa,kazur balaa,.

Akabak anacheka tuu,et "unavituko"...
Nkamwambia ntarud unikamate tena
Hakuna thread ya kisenge kama hii.. kwa nn thread ije bila hata kuwa na picha? Tafadhari Modes futeni hii thread
 
Dah,nimesimamishwa na m1 leo sokoine drive kule daah,ikabid nimwambie tuu,kwakwel hata kama sina kosa,naomba nikupe takrima...daaaah,.mtoto mbichiiiii kabsaa,kazur balaa,.

Akabak anacheka tuu,et "unavituko"...
Nkamwambia ntarud unikamate tena
Hujabeba hata namba mkuu umefanya makosa sana
 
Usiogope mkuu na yy ana hisia kwahiyo anaelewa.
Kiukwel sjawai ona askar mzur kama yule,niwe mkwel tu,af nadhan wamekaweka central pale mjin,lazma boss mkuu anajilia mtoto yule,si haba
 
Back
Top Bottom