Dah! Kilichonikuta mwenzenu

Ukome mnajifanyaga vidume kwa mahouse girl hivi kwa nini hamna huruma nyie viumbe mtu yupo pale kwa kusaidia kazi za nyumbani
Kumekuchaaaaaa swalamaaaa?
 
Siku moja nimetoka zangu tizi njiani kabla ya kufika sehemu yenye barabara pacha kuna daraja ukilivuka mbele hatua 5 ndio njia 4 yaani barabara kuna inayonyoosha kuna inaingia kushoto na kuna inaingia kulia,sasa nakumbuka katikati ya barabara inayoingia kulia na baada ya kuvuka daraja nilikuta mwanaume (kijana kama wa miaka 14 -17amekalia limfuko.

Yule dogo alinisalimia na mimi nikaitika ile kama naanza kumpita hivi akaniambia "samahani kaka naomba unitwike huu mzigo"mimi nikageuka na yeye akasimama na kuinama kama anaubeba na mimi nikainama kumsaidia ile kuubeb na kwa kweli ilikuwa kitu kizito kiasi kwamba nilijikuta nimeguna nikamuuliza "mbona mzigo mzito sana huu umetoka nao wapi na unapeleka hadi wapi?yeye aliishia kusema asante nashukuru.mi nikamwambia utafikisha huo mzigo? Hakunijibu kitu akawa ndo anapiga hatua kama anaenda na mimi nikageukia upande wangu naanza kwenda.

Ile nimepiga hatua mbili bado nikaw najiuliza kimoyomoyo 'huyu dogo huu mzigo kweli huyo aliembebesha huko atakuwa ana roho mbaya sana mzigo mzito kiasi kile anambebesha mtoto?basi wakati najiuliza maswali nikageuza shingo nimwangalie,la hau laa sikuamini mamcho yangu pamoja na eneo lile kuwa wazi sikuambulia kumwΓ³na narudi nyuma kama hatua 3 hivi kutizama vizuri sikumwona nimeenda kuchungulia adi kule darajani labda ameend kutumbukia huko sikuambulia kitu zaidi ya mimi kujisikia kutoka jasho na hofu huku woga umenitanda na miguu kukosa nguvu.
Nilisali sala pale pale huku nakemia na kuondoka nafika nyumbani sielewi ingekuwaje.
Basi mpaka leo nikipita lile eneo hata kama niko na gari bado napatwa na woga sana.
Onyo:kama ukikutana na mtu mazingira ambayo hayaeleweki hata akikusemesha plies usijisumbue kumjibu wee pita tuu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Umeingia chakike...ewaaaa
Chakike...umeingingia chakike....Lazima Uchuchumae..

Poyeeeeeee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ndo apite na khanga moja ndembendembe wakati nmekaa sebuleni?..
Akipita na kanga moja muite, muulize kwa nini anatoka nje uchi, mpige biti la nguvu, hatarudia nakuambia. The problem with us men, huwa tunapenda kubariki upumbavu, hasa unaohusisha mambo ya ngono, tupo so weak.

Ila mtoto akitoka chumbani awe amevaa vizuri, kama baba au mama unaruhusu vipi binti aje sebuleni na kanga moja, hudhani kama unampa uhuru uliopitiliza?
 

 

1).kama hakuwa na bikra badi wewe ni mjinga kinoma.

2).kama alikuwa na bikra hapo sawa unakubali tu umepigwa kwa akili kubwa mno.
 
Mleta mada sijaelewa kitu kimoja uyo beki 3 umesema babu alimwambia asikutane na mwanaume yeyote, unataka kuniambia wewe ujamtoa bikra sasa iweje uanze kupagawa ivyo wakat huko kijijini aliyemtoa bikra anakula Bata, kachai haka kanaonekana wala akukuiva
 
Wee boya sana kwani wewe waganga huwajui?

Boya weee! Ungeenda na wewe kwa sangoma arudiashe chupi kisangoma. Hala ummbeto kisawasawa hamu iishe na umuonyesho manjonjo ya kichawi zaidi mfano mwambie mie siyo mtu ni simba dadako yaani mkeo hajui.
Geuka simba kweli af rudi kawaida.

Mwambie umenitisha na mie nafanya kweli tuone km itaolewa na utazaa na hapa kwangu hutoki nakutom. Af nakuweka store km mdoli.
Wewe ni babu yako kafanya na mie nafanya mwenyewe kwenda nje nilienda kiuchawi nilikuwa hapahapa. Ukitaka njoo tuungane kwenye chama la kiuchawi. Napeleka jina lako kundini. Juu yako sasa uje au uache lkn tutakutumia.
Nilikuwa natafuta pa kuanzia muda mrefu sana km hukuniona wakt nakuja kulala hapa uchawi wako ni mdogo sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kweli watu wenye tabia hizi wajifunze hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…