Dah...Hujafa, hujaumbika...

Ngoshwe bana ndo mambo gani sasa hayo? Arrgghhhhh:tongue:
 
duhhhh
usifanye hivyo kabisa dear nakuomba ..
Zile balaaa buluu.. unajisikiaje leo?

Ha ha haaaaaaaaaaaaaa, mi nilijua utaniruhus nizizweke,maana naona watu wana masikhara.....!

Niko pouwa dear, namshukuru Mungu siku inaishia vizuri....!
 
mmhh ipo siku tutaziweka ntakupa ruhusa..
We si unaona zilivyoleta balaa kule Uso Kitabu ndo uweke hapa JF mwehh..

Hongera kwa kumaliza siku fresh .. I was a bit worried about you dear...
 
Am a strong girl my dear, i can handle this,don't worry.....!

Haya siku ukiniruhusu nitaziweka...huo usumbufu utaubeba mwenyewe....unaweza ukawa blocked..lol
 
I'm glad to hear that...

we si unajua zangu , usumbufu napotea mitini.. ile miezi mitatu nliokwambia
ntaifanyia kazi siku ukiweka.. Nikirudi mwaka mpya na mambo mapya.
 
Dah,kuliko nikukose miezi mitatu bora nisiweke hizo picha....yameisha dear....lol
 
Hii nimeipenda na nimedata hapa ngoja nipotee
 
Mimi naona kama vile jeans imevaliwa kwenye kitambi
 
pendeza wewe...!, piga tena utuwekee na upaja wa kulia...lol au ni mlemavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…