Dah hii dharau!

Usijali....wafanyabiashara wanajaribu kuwavutia wateja wao.
 
Sijakuelewa kabisa mkuu

Kuna kama kiatu cha mwanamke hapo juu, kisigino chake ni kama mwanaume ndio anabemba mvaa kiatu husika kwa kutumia nguvu zake.

Tazama polepole vizuri kwenye hiyo picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…