Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,723
- 858,386
Angalia vizuri anaenda kinyumenyumeMie nina wasiwasi huyu dere alivyo na speed hapo atanyoosha,hamna cha left wala right.
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Angalia vizuri anaenda kinyumenyumeMie nina wasiwasi huyu dere alivyo na speed hapo atanyoosha,hamna cha left wala right.
Zaidi ya sheedah 'rivasi na kinyume'Alaa!!!basi kumbe ni sheeeda.
HahahaaaTeh,teh,teh.,naona ndio umeongeza speed na umekula wa mbuzi.
Maskhara!!!V~wonder wamaanisha maajabu ya tano ya dunia???Nchi zote za viwanda, huwa zinapenda kuangalia SHILAWADU. Kwahiyo na sisi acha tuwatangaze shilawadu ili tuwe nchi ya VIWONDER.
[emoji113] [emoji113]