Dah! Gospel ikipigwa Bar inanoga sana, sijajua sababu!

Wakuu,

Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii!

Gospel ya kwenye Bar ina upako very unique. Hongereni sana waimba Gospel kwenye Mabar MNA sehemu maalum peponi.

Yesu alikua mnywaji rejea bibilia kweny ile harusi yesu aliyohudhurias akakosa kileo akageuza maji yale kuwa mvinyo.
 
"Tumeuona mkono wako bwanaaa"ikipigwaa hii lazima watu wasimamee
Unakuta bia ishakolea unajiona uko heaven kabisa alafu ikipigwa utaona watu wanainua mikono juu wanaacha kubambia . Ila pombe bana dj akichanganya akapiga amapiano unaona mwana anarudi kukamatia kiuno hahahah
 
"Tumeuona mkono wako bwanaaa"ikipigwaa hii lazima watu wasimamee
Kuna siku ilipigwa hapo shivazi Ile bar ya picnic mie ndo Mara ya kwanza kuisikia acha bwana.yale madada ya picnic table Kama mnayajua yenye matako makubwa yakaanza kucheza kwa mduara yaani ilinogaje kinouma aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom