nenda kwa real player alafu weka define acces point, weka defaut. namaanisha ambayo iko defalt ktk web browser yako. baada ya hapo kama utafungua link ya youtube real player itafungua moja kwa moja hiyo video. cha msingi hakikisha umeunga na wireless network au upo kwa 3G Coverage.