Dah!!!Ama kweli watu wamedata.

Namuona jamaa aliyevaa pensi jicho limemtoka kama haamini vile anachokiona
 
Watu cku iz wanakua kimwil xio akil hii picha ungemuonyesha kwanza mzazi wako ndo upost pumbavu zako
 

Watu wana mshangaa huyo dada aliyejichia na kubaki mtupu. Kwa nini mtu atuletee hiyo picha ya mdada aliyesaula? Hilo ndio kosa/dhambi. Mwombee sana kwa Mungu asirudie tena hilo kosa/dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…