Dah!!!Ama kweli watu wamedata.

Ni zoom wapi haya madera yananichanganya
 
Uliyepost hii picha nenda kwa kiongozi wako wa dini aliye karibu ukatubu dhambi. Ovyo sana wewe!
Bibie vipi? Sijaona dhambi yoyote katika post ya mleta habari huyu...unaweza kutaja dhambi yake nikijiridhisha nimuombee kwa mungu baba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…