Dah!! aliyebuni usafiri wa bodaboda katisha

Itakua tanzania au uganda kenya hakuna hizo pikipiki nyingi ni boxer
 
Hii haiwezi kuwa Tanzania, Yaani apite amejitanua hivyo kwenye barabara kuu na Trafiki au wale Tigo wa bongo wanamuangalia tu?!!
 
afu mbona kama pikipiki zote zinazoonekana hapo hazina plate number?? TZ utapita nazo wapi na traffic njaa walivyojaa hadi vichochoroni huko..!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…