Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,917
- 288,018
Kwahiyo?Andika taratibu,typo za kutosha
Hiyo picha ni kigoma,dagaa wese,kitambo sana!!
Hali ngumu sikukuu zote, miaka yote ipo tu,siyo wote hula mchele sikukuu
Mkuu umeanza tena uongo? Mimi niko huku BK na nilitoka home nimechinja kabisa mbuzi wawili! Kwa hiyo aliyepika dagaa atakuwa amependa mwenyewe!Uchunguzi wetu wa muda mfupi umebaini kwamba pamoja n.a. kwamba kalenda zinaonyesha kuwa Leo ni sikukuu ya Christmass, Lakini familiar nyingi zimeelekeza watoto Wao kuchambua Dagaa karma kitoweo cha Sikukuu
View attachment 3520300
Hali ni mbaya kuliko mnavyodhani lakini viongozi wanaleta kejeli ( Magari namba E yamejazana- Mwigulu)
Sikukuu hii ni karma haipo kutokana n.a. Ugumu wa Maisha, Lakini Je hali hii itavumiliwa hadi lini?
Huyu jamaa kila sikukuu lazima aanzishe mada za aina hii.KWAHIYO WEWE KILA SIKUUU UNAONGEA HIVI FATILIA POST ZAKO ZA X MASS UTAGUNDUA HILO SWALA TANGU 2012
Vipi umeandamana viunga gani Leo mkuu?Uchunguzi wetu wa muda mfupi umebaini kwamba pamoja n.a. kwamba kalenda zinaonyesha kuwa Leo ni sikukuu ya Christmass, Lakini familiar nyingi zimeelekeza watoto Wao kuchambua Dagaa karma kitoweo cha Sikukuu
View attachment 3520300
Hali ni mbaya kuliko mnavyodhani lakini viongozi wanaleta kejeli ( Magari namba E yamejazana- Mwigulu)
Sikukuu hii ni karma haipo kutokana n.a. Ugumu wa Maisha, Lakini Je hali hii itavumiliwa hadi lini?
Hizi ni ndama zilichonganyikiwa mkuu 🤣🤣🤣🤣KWAHIYO WEWE KILA SIKUUU UNAONGEA HIVI FATILIA POST ZAKO ZA X MASS UTAGUNDUA HILO SWALA TANGU 2012
Hayupo sawa huyu KijanaHizi ni ndama zilichonganyikiwa mkuu 🤣🤣🤣🤣
Fala tu huyo eti anasema nanukuu ...kipindi hicho ikifika usiku mimi nilikua namsubiri shangazi yangu amalize kupika kisha anipe kanga yake anayoivaa ndio iwe shuka yangu ya kujifunika.. mwisho wa kunukuu by the time hapohapo ananyanyuka anaongea uqumaninaMagari namba E yamejazana- Mwigulu
Mishkaki ya Mbuni?KARIBU NYAMA Kutoka pande za matema beach
Bora Kaka Tapeli umetusaidia kumjibuKWAHIYO WEWE KILA SIKUUU UNAONGEA HIVI FATILIA POST ZAKO ZA X MASS UTAGUNDUA HILO SWALA TANGU 2012