ayman makoye
Member
- Jan 3, 2017
- 13
- 33
unaposema mzigo mkubwa unakatisha tamaa wateja wako,nitaka wakukaushwa kilo shilingi ngapi ili nijue Nahitaji kilo ngapiTupo mwanza,pia kwa wale wenyekuhitaj mzigo mkubwa mikoan tunatuma
wewe unaanza kutuma pakiti ngapiSo inateghemea ss ,utakuwa unahtaj pakit ngp ili uweze kutumiwa
Toa majibu yakueleweka kuwa kuanzia mzigo wa pkt kadhaa ndio tunatuma. Sasa unajibu inategemeana wakati ushasema mnatuma mzigo mkubwa tu na haujaspecify huo mzigo mkubwa ni kiasi gani!!!Inateghemea na ww mwenyewe ss uhtaji wako,Si tuna tuma kwa kuangaria order ulyo toa
kweli mkuu ,halafu yupo mwanza sasa sie tunaoishi kibiti kweli ataweza kututumiaToa majibu yakueleweka kuwa kuanzia mzigo wa pkt kadhaa ndio tunatuma. Sasa unajibu inategemeana wakati ushasema mnatuma mzigo mkubwa tu na haujaspecify huo mzigo mkubwa ni kiasi gani!!!
Marketing kibongo bongo bado sanaaaa, mtu anatoa tangazo ambalo bado lina maswali kibao, na ukiuliza majibu yanatolewa utafikiri mtu anatania tu hayupo seious na biashara.kweli mkuu ,halafu yupo mwanza sasa sie tunaoishi kibiti kweli ataweza kututumia
Nipo mtwara nahitaji packti moja nile mchana huuHabari za leo ndugu mr.busin£ss supplier
Tunajihusisha na usambazaji wa dagaa wa kukaangwa kutoka ziwa victoria (mwanza) kwa bei nafuu kabisa ni dagaa safi wasio na mchanga ni watamu sana (Wanalika bila viungo vingine) wana uwezo wa kukaa mda mrefu bila kuharibika wamefanyiwa packaging katika mazingira safi na salama pakiti moja inauzwa sh 2000/=
0716865460/0763571013
We offER fRe£ deliVERy
nakuja pm mkuuTuna tuma kuanzia pakit 10,,Upo mkoa gan?!!,