DAGAA WA MWANZA

wa zion

Senior Member
Mar 23, 2013
140
500
Pata dagaa wazuri na wasafi kutoka mwanza, dagaa wetu ni wale wasio na michanga kabisa tunaanika kwenye miamba ya mawe. Kwa bei ya elfu 5000 kwa sado moja kwa wasiokaangwa na kwa bei ya elfu 17000 tu kwa waliokaangwa.

kwa Dar es salaam mteja atachangia kiasi cha sh 1500 tu kwa ajili ya usafiri. ukihitaji nitumie DM
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,777
2,000
Pata dagaa wazuri na wasafi kutoka mwanza, dagaa wetu ni wale wasio na michanga kabisa tunaanika kwenye miamba ya mawe. Kwa bei ya elfu 5000 kwa sado moja kwa wasiokaangwa na kwa bei ya elfu 17000 tu kwa waliokaangwa.

kwa Dar es salaam mteja atachangia kiasi cha sh 1500 tu kwa ajili ya usafiri. ukihitaji nitumie DM
Picha hakuna watanzania bado tuna kazi kubwa sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom