beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
Habari za asubuhi wakuu kama picha zinavoonekana ni dagaa wa kukaanga kutoka mwanza tunauza kwa bei nafuu sana , ndoo tunauza sh 50,000 na kwa kilo moja ni 8,000. Tunapatikana dar na unaletewa popote ulipo kwa maelezo zaidi njoo Pm.
KARIBUNI SANA