Dagaa safi wasio na mchanga

Dagaa safi wasio na mchanga

kamsongole

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
111
Reaction score
15
Ninao dagaa safi wasio na mchanga kutoka BUKOBA. Dagaa hawa wana madini ya chuma ambayo huongeza damu. Jipatie kwa bei nafuu. Wapo ambao wamekaangwa na pia wapo ambao hawajakaangwa.
Waliokaangwa kwa kilo ni shs 15,000
Wasiokaangwa kilo ni shs 13,000

KARIBUNI SANA. KWA ANAYEHITAJI TUWASILIANE KUPITIA NAMBA 0713 44 75 10.
Pia kwa wenye supermarket na magenge pia tuwasiliane. Asante.
 
Unapatikana wapi mkuu?? mie nawahitaji hao dagaa.
 
Ninao dagaa safi wasio na mchanga kutoka BUKOBA. Dagaa hawa wana madini ya chuma ambayo huongeza damu. Jipatie kwa bei nafuu. Wapo ambao wamekaangwa na pia wapo ambao hawajakaangwa.
Waliokaangwa kwa kilo ni shs 15,000
Wasiokaangwa kilo ni shs 13,000

KARIBUNI SANA. KWA ANAYEHITAJI TUWASILIANE KUPITIA NAMBA 0713 44 75 10.
Pia kwa wenye supermarket na magenge pia tuwasiliane. Asante.

unapatikana wapi mimi nataka wa mtoto
 
Kila kitu kinaongeza damu, mafuta ya ubuyu, alovera,.

Tunaombeni ushaidi sio kutoa ulaghai wa kibiashara.
 
Niko kibaha, tuwasiliane kwa namba hiyo ili nikuletee kama uko Dar mkuu.
 
Back
Top Bottom