Daftari la kudumu linakuja, tujiandae

Daftari la kudumu linakuja, tujiandae

mr.molel

Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
53
Reaction score
9
na wasalimu wote mungu ni mwema ametulinda ujumbe wangu kwa vijana wote wa nchi hii ya tz kila mmoja awe balozi wa mwezake akajiandikishe kupiga kura ili tukafanya mabadiliko iliyo sahihi tuache kulalamika
 
asante sana kwa kutukumbusha mkuu , hiyo ndio njia pekee rahisi ya kufanya mabadiliko ( japo zipo zingine lakini ngumu )
 
Tumejiandaa vema kujiandikisha na tutawahamasisha watz hasa vijana wajiandikishe kwa wingi ili 2015 uwe mwaka wa mabadiliko
 
Na mkapige kura sio kujaa kwenye mikutano na maandamano.hamkawii kulalamika
 
Kisha mwende kupiga kura sio kujaza mikutano tu.mnaudhi sana
 
Naomba kuuliza iv nikijiandikisha dar halaf nataka kupiga kura wilaya nyngne nje ya mkoa iko vp iyo
 
We kajiandikishe umeanza ubabaishaji utaratibu upo utapiga popote nchini.we utapiga kura kwelii?jibu
 
Lazima mimi nafamilia yangu tukajiandikishe tena kwa lazima
 
safar nawapeleka wote siachi kitu nyumban labda chalii wa kunivunjia tv tu, tena kwa lazima safar iliyopta nilidharau hakyanan somo limeniingia
 
Mchakato unaanza lini ?
na wasalimu wote mungu ni mwema ametulinda ujumbe wangu kwa vijana wote wa nchi hii ya tz kila mmoja awe balozi wa mwezake akajiandikishe kupiga kura ili tukafanya mabadiliko iliyo sahihi tuache kulalamika
 
Mi ninavyo hivyooo..!! V3 mikoa mitatu tofauti 04 mby. 07 moro. 010 dar.
 
Mwanangu jambo kubwa ujjiandikishe, mengine yatafuata. Waambie na wenzako wote.

Sawasawa mkuu sisiem watatukoma iyo 2015 nitahakikisha nawashauri vijan wenzang kazi ikae vema
 
Back
Top Bottom