haya, msalimie...akikutelekeza nitakukuta.Nimetekwa na Dadii, ulikuwa unanitafuta?
salama, za kupotea?
mwambie asijali nitakukuta mimi uwe kwangu
utakua mgeni wetu wa sikukuu usijali anajua nakusubiri, anapenda wageni.Hhahahahahhaaa, shauri yako....
My wife wako to be akisoma hapa atakununia na ataninunia na mie maana sio kwa kungojewa huko hehehehee
Utanyimwa zawadi ya sikukuu hehehehee
Kasie
utakua mgeni wetu wa sikukuu usijali anajua nakusubiri, anapenda wageni.
Naibiwa MangiJabuuu watu wanatuotea sana kuwa mie na wewe tuoane, sijui kwanini wanatuotea hivyo....
Dadii wangu katulia tuliii anawatizama huku akicheka na kunitekenya hehehehee
Ngabu Mahaba yamenivuruga mwenzio nimekuwa fyatuu, ila utabiri wao ukizidi sijui tujaribu kama itakuwa kweli.... aahahahahahhaaa
Simooo wasije wakashindwa kunywa chai asubuhi hii bure kwa kukereka.
Halafu Vale na Kiranga nao waoane tucheze harusi mie najitolea kuwa matron, wewe utajitolea kuwa bestman?
Wake zetu wangekuwa kama kassie dah Tungefaudu sana jamani, lkn hawa akina kichwa kinauma, nimechoka na sijisikii vizuri aaargh wanatutesa sana
Aahahahhaha umenikumbusha uzi mmoja niliusomaga zamaniii kabla sijajiunga na JF.
Ulikuwa unaongelea wanawake walioolewa kuwa wabunifu, siku nyingine anaonekana kama mwanafunzi siku nyingine kama housegirl na mmewe ana mnyapia siku nyingine kama baa medi siku nyingine kama mama ntilie. Yaani mwanamke unakuwa na vionjo tofauti tofauti kila leo mwanaume hajui kesho utgakuja na swaga zipi na anakuwa hakuchoki na saa ingine unakuwa calm tuu halafu siku isiyo na jiona unapandish maruhani ya mahaba kama Kasie.
Kwa maneno ni rahisi na kwa vitendo inahitaji uwe na sanaa aka msanii maana huku uwaze watoto huku ndugu huku nyumba haijafanyaje sijui huku kazini huku hela akija mume anaona hili nalo halioni kuwa mwenzie nimechoka. Kumbe mke anatakiwa saa zote awe tayari kwa mumewe bila kukauka tabasamu.
Kiukweli sijaolewa labda ningeolewa nisingekuwa hivi ila nna shaukwa na mahaba na Dadii utasema ndo nimebalehe leo hehehehhee.
Japo mwanaume una nafasi ya kumfanya mkeo awe mchangamfu na mcheshi na mtundu zaidi ya Kasie, mfanyie mema, mtende vizuri utakula mema ya nchi. Mbele yake usijisahau sana, mtafune huku unampuliza mkeo hatoumia na hatokutenda.
Matata K.
Mimi sidhani kama role playing [ leo ni school girl, kesho nurse, keshokutwa cop, siku inayofuata judge, etc] ina spice up penzi.
But I can only speak for myself.
Kwa sababu, hata uvae kama school girl, mwisho wa siku utabaki kuwa mtu yule yule tu.
It’s not like if you dress up like a schoolgirl your pussy is going to tighten, get wetter, or your titties are going to firm up.
Pretty much everything is going to be the same.
So to me role playing doesn’t do much.
But, maybe to others it does.
*** you Kasiba, Vale anakuita umpeleke clinic
(no offense pls - hehehehhee K' bingwa wa kujihami)
Sasa we mwenzako kaandika kiswahiliMimi sidhani kama role playing [ leo ni school girl, kesho nurse, keshokutwa cop, siku inayofuata judge, etc] ina spice up penzi.
But I can only speak for myself.
Kwa sababu, hata uvae kama school girl, mwisho wa siku utabaki kuwa mtu yule yule tu.
It’s not like if you dress up like a schoolgirl your pussy is going to tighten, get wetter, or your titties are going to firm up.
Pretty much everything is going to be the same.
So to me role playing doesn’t do much.
But, maybe to others it does.