Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari za asubuhi,
Moyo wangu umejaa huba, raha na furaha kwa Dadii. Najua bado ni wmanzo wa wiki na ni asubuhi ila, penzi langu kwa Ddadii halisubiri ijumaa au wikiendi au sikukuu au jioni. Muda wowote mahala popote mahaba ya Kasie kwa Dadii ndo kila kitu.
Jana jioni umenipa bashasha kubwa sana Dadii, nimelala natabasamu nimeamka natabasamu. Asubuhi kumekucha mahaba ndo kama yameanza leo kumbe tangu enzi za alfu lela ulela. Najua wewe ni mtaalamu wa lugha zaidi yangu ila kwako ntachanganya lugha zote hadi kimakonde shurti mahaba yanoge...... ninogesheee ninogesheee.. Daddiii ninogesheee...
Kukuandalia chakula ni fahari yangu, kuwahudumia matoleo yetu (Jo. & Co.) ni bubujiko kwangu. Kila nikiweka vidole kwenye kiandikio (keyboard) maneno yanatiririka tu kutoka moyoni, kila nikifumba macho na kufumbua - kupiga ukope (blink an eye) naiona taswira yako, nasikia sauti yako na tabasamu / cheko lako. Hakika wewe ni nyota ya Jaha / Mahaba kwa Kasie. Umeamsha vimelea ambavyo sikuwahi kuviona ndani ya mwili wangu kabla ila tangu niwe na wewe najiona mpya kila siku kwa jinsi nilivyo.....
Dadiii you are my living engine..... I love you so much to death Baby Kidinda, Mmmuuha!!!
Loving you.... is easy .... making love with you is all I wanna do...
No one else can bring the colors that you bring...
And everytime that we uuuugghhhu..... am more in love with you....
Laalaalaalaalaah laalaalaalaalaah laalaalaalaalaah laalaalaalaaaaaalaah
Duumdum duum duuuduuu uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhh!!!
K' Matata Mahaba Dadii.