Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,265
- 1,092
habari za jioni wanajamii? Nipo kwenye daladala natoka kwenye mihangaiko yangu hapa maeneo ya ubungo
kuna dada kaka jirani yangu kavaa umini a.k.a mini skirt wa kufa mtu na umepanda hadi taiti yake nyeupe inaonekana ila ye' haonekani hata kujali hiyo hali na sio kwamc hajui.
Jamani imefikia hau thamani ya mapaja na maziwa ya dada zetu kushuka thamani hivyo!? Kina kaunga na lara nangoja hoja zenu bila kusahau preta na smile
habari za jioni wanajamii? Nipo kwenye daladala natoka kwenye mihangaiko yangu hapa maeneo ya ubungo
kuna dada kaka jirani yangu kavaa umini a.k.a mini skirt wa kufa mtu na umepanda hadi taiti yake nyeupe inaonekana ila ye' haonekani hata kujali hiyo hali na sio kwamc hajui.
Jamani imefikia hau thamani ya mapaja na maziwa ya dada zetu kushuka thamani hivyo!? Kina kaunga na lara nangoja hoja zenu bila kusahau Preta na smile
Pia wenzao wazungu inachangiwa na hali ya hewa kuna majira huona hata nywele zao jinsi baridi inavyowapigaWapuuuzi na malimbukeni hao wanaoigiza mambo ya kizungu wasijue wanachofanya ingawa si wote. Mapaja mkiyafunua hovyo mvuto wenu unaisha jueni akina dada wanaofanya ujingaa huu.
sasa biashara si matangazo??
Mjini hapaaa,,,
Hilo Jina linauhusiano na Le Mutuz The Big Show @@Dodoma @@NY?
acha tufaidi utalii wa ndani
tena mie napenda boobz ziwe out, mapaja kidogo na kitovu kichungulie
acha tufaidi utalii wa ndani
tena mie napenda boobz ziwe out, mapaja kidogo na kitovu kichungulie
Kuvaa mini skirt ni kama fashion nyingine tu, haina shida. Mimi huwa nazipiga vizuri sana tu, sema mimi huwa sipandi daladala tu labda ndio tofauti huyo dada. Mimi nimelelewa hivi na offcourse nimekuwa nikiona picha za akina mama wa zamani walikuwa wanavaa miniskirt hasa, sio kama sisi leo, zao zilikuwa fupi zaidi!! So sometimes najiuliza hii habari ya kuporomoka maadili, na madada kuvaa nguo fupi ilianza lini, miaka ya 1940s au? Sioni tatizo dada akivaa miniskirt! Kuhusu matiti na mengineyo sitachangia kwa sasa!
cheeh! kongosho! nimebaki kinywa wazi eti utalii wa ndani?? lakini ukweli hali inachefua utakuta lijitu linene lina mipaja minene halafu lizee nalo eti linaacha mipaja na miziwa wazi halafu wengi utakuta imejaa ile michirizi myeusi au myekundu utadhani kachora tatoo, inachefua haswaa, mini zina sehemu zake hata ukivaa huonekani tatizo kama ukiwa na usafiri binafsi, uwe kwenye disko n.k lakini daladala halafu ukikaa paja nje, kiuno nje, manyonyo nje, eh jamani hata kama ukitaka kujiuza si kihivyo