Hapa ndipo wanawake wanapowashinda Wanaume.
Upo hapa unahalalisha kuwa na michepuko kwa kuwa idadi ya Wanawake ni kubwa kuliko Wanaume na wao wanahalalisha kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine nje ya ndoa kwa sababu zifuatazo
1. Una mishughuliko mingi
2. Humfikishi
3. Una kibamia
4. Huna swaga kwenye tendo la ndoa
5. Humjali
6. Upo safarini
7. Unamdandia Mara moja kwa wiki
8. Anatoa penzi Ili apate kazi
9. Anatoa penzi kwa ma-X zake
10. Anatoa penzi kwa workmate kwa kuwa tu wameenda seminar Arusha
11. Anatoa penzi kwa mwanamume mrefu kwa kuwa Wewe mfupi
12. Anatoa penzi kwa Rafiki yake WA kiume kwa kuwa anajali.
Note : Kutokuwa waamunifu katika ndoa na mahusiano ni vita isiyo na mshindi.
Mwisho wake ni majuto....