GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,044
- 119,617
Sijui ni nani huwa anawaharibu na kuwapa USHAMBA huu Dada zetu huku na wao wakikurupuka tu kuuiga wakidhani ni SIFA au UFAHARI.
Nakereka mno kama siyo sana na haka " KATABIA " ka KIPUMBAVU kama siyo ka KIJUHA ambacho Dada zetu wa Kizazi cha leo wamekaanzisha.
Ni kwamba leo hii kila ukiangalia picha za Dada zetu 99% utaona wote wamepiga picha zao huku MIDOMO YAO WAKIWA WAMEIVUTA KWA MBELE KAMA VILE WANABUSU. Kwa wale wenzangu na Mie mnaofuga NGURUWE ukitaka ujue ninachokimaanisha hapa ni rahisi sana hapo ulipo kama kuna Nguruwe hebu mwangalie mdomo wake ulivyo ( kimuonekano ).
Ndiyo maana nauliza Dada zetu wa siku hizi hasa hawa wa Dot Com generation hii tabia ya UNGURUWE ( kuvuta mdomo kama wanachumu ) kila wanapojipiga picha zao wameitoa wapi? Na inawasaidia nini?
Na ni afadhali ukutane na Dada mwenye mdomo wa kufanya hivyo kidogo unaweza ukaelewa ila wengi wao wanaofanya hivi wana MIDOMO MIKUBWA sana kiasi kwamba wakiwa wanavuta hiyo midomo yao si tu sasa utaona labda wanafanana na NGURUWE bali hawa sasa hufanana na KIFARU au NYATI.
Nadhani dozi hii KUNTU itawaingia na mtabadilika kwani kiukweli MNABOA na MNATUBOA. Mbona styles ziko nyingi tu jamani kwanini hadi mtuvutie mbele hiyo midomo yenu? Ukiangalia picha zenu wengi za Facebook, WhatsApp, Twitter na hata Instagram mmetubinulia tu hiyo MIDOMO yenu.
Ijumaa karim nyote.