Dawa ya kichina babu wewe ukipewa ya kunywa kataa, haijui kuchagua! Utaumuka mwili mzima kama puto! Kwa taarifa yako manyonyo, miguu na makalio tunapaka dawa ya kuongeza! Tumbo tunapaka ya kupunguza!
Hivi kope bandia umetaja, manake zangu kama ufyagio wa choo cha shimo (wa chelewa)
Tatizo wanafikiri ili mwafrika awe mzuri, ni lazima awe kama mzungu! Puuuuuh! Tuheshimu u-AFRIKA wetu. Laiti kama wangejua jinsi relaxer inavyotengenezwa? Wasingethubutu kukaanga nywele.
Kwani mtu akisema 'dada yangu au zetu' ni kwamba ni mwanaume? Au akisema 'kaka zetu' ni mwanamke? Je, aliyeanzisha hii thread ni mwanaume kwa sababu amesema 'dada zetu'?
Si ndio mnavyotaka, vizuri vizuri tu. Mwanamke akiwa ana mapungufu fulani ya uzuri basi mnaanza kuangaza kwengine sasa hii ni kuwasaidia mpate everything under one roof.