Dada zetu samahani!! Mwanaume hafuatiliwi

Azimio la Beijing ni nani alielianzisha...?
Ametuharibia Dunia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U
Uninstall kwa muda wasapu messenger nadhani hata simu utakuwa unaiacha nyumbani usisumbuliwe ukiwa bar.
.mueleze mchepuko wako no text msg na calls utapiga wewe ukimuhitaji, ukiweza kusimama na rules hizi kwenye research yako utagunduwa kumbe hata simu yako waweza muachia mkeo.

Haya mawasapu yenu ndio yanayovunja mahusiano kwa sasa. Nimeondoa wasapu app kwenye simu yangu hata nikiwa home tunaweza kupiga story na wife na siyo kuwa mtumwa wa simu upo bize kwenye magroup kumbe mwenzako anakukata jicho anajuwa unachart na michepuko mengine.

Wasichokijuwa wanaume wengi ni kwamba wanawake wote wanatongozwa sana kila siku kwahiyo wanaamini wanaume wote ni wahuni, kwahiyo ni jukumu lako mwanaume kuishi nao kwa akili na kuwaprove wrong kwamba wewe ni tofauti na wanaomtongoza mkeo kila siku.

Kizazi hiki hizi simu msipofanya maamuzi magumu ya limitations zitawasumbuwa sana, mimi sasa hivi jioni simu naacha nyumbani ikiwa on nakwenda bar sitaki kelele za kupigiwa simu home kila dakika 20, kwangu it works.
 
Yes, mkeo akicheat inabidi ukae chini ujitathmini wapi unakosea urekebishe na umuombee sana. Sio kulia lia kama redio mbovu.
Eti redio mbovu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna rafiki yangu huyu najua ana michepuko ila ana wivu kwa my wife wake. Sasa wakanyimana kushikianana simu.

Shemeji akiona mmewe kakaa na simu anajichekea mwenyewe roho inamuuma siku moja akaikwapua hapa ndipo ugomvi ulipoanzia nikayajua.
 
Kuna rafiki yangu huyu najua ana michepuko ila ana wivu kwa my wife wake. Sasa wakanyimana kushikianana simu.

Shemeji akiona mmewe kakaa na simu anajichekea mwenyewe roho inamuuma siku moja akaikwapua hapa ndipo ugomvi ulipoanzia nikayajua.

Wanawake hawawezi kuacha huu mchezo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tuwe makini na ushauri wa MMU.

Humu mengi tunayasema tusiyoweza kuwaambia wake zetu na waume zetu majumbani pindi wanapotukera.

Sumu tunaitemea humu...
 

Sure well said


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…